HIMID AMALIZANA NA WADENMARK, AMVAA SAMATTA UBELGIJI
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji (kulia) akiwa na mgeni wake, Nahodha msaidizi wa timu hiyo, Himid Mao wa Azam FC ya nyumbabi jana baada ya kumpokea mjini Genk akitokea Denmark alipokuwa kwa majaribio katika klabu ya Randers FC.
0 comments:
Post a Comment