Emre Can akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Watford usiku huu Uwanja wa Vicarage Road kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unairudisha Liverpool nafasi ya tatu ikifikisha pointi 69 na kuishushia nafasi ya nne, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment