Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake ikishinda 3-2 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumamosi. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na James Milner wakati ya Villa yalifungwa na Rudy Gestede PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment