![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0 |
![]() |
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite akitafuta maarifa ya kumtoka mshambuliaji wa Prisons, Jeremiah Juma |
![]() |
| Ngoma akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons |
![]() |
| Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka James Josephat wa Prisons |
![]() |
| Beki wa Prisons, Nurdin Chona akiudhibiti mpira dhidi ya Godfrey Mwashiuya wa Yanga |








.png)
0 comments:
Post a Comment