![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Mussa Mgosi akiwania mpira dhidi ya beki wa Mgambo, Bashiru Chanache |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya winga wa Mgambo, Chande Magoja |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Justuce Majabvi akimdhibiti beki wa Mgambo, Salim Kipaga |
![]() |
| Kiungo wa Mgambo, Mohammed Samatta akienda hewani kupiga mpira juu dhidi ya wachezaji wa Simba SC |
![]() |
| Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimuachaa chini Fuluzulu Maganga wa JKT |








.png)
0 comments:
Post a Comment