• HABARI MPYA

    Friday, September 18, 2015

    MWADUI FC WAISALIA AZAM FC ‘SALAT L’JUMAA’

    Wachezaji wa Mwadui FC ya Shinyanga, wakifurahia baada ya kutoka kusali sala ya Ijumaa mchana wa leo. Mwadui FC kesho itamenyana na Azam FC katika mfululizo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Shinyanga.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWADUI FC WAISALIA AZAM FC ‘SALAT L’JUMAA’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top