Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge (kulia) akitafuta maarifa ya kumtoka mchezaji wa Norwich katika mchezo wa Ligi Kuu ya Engand Jumapili Uwanja wa Anfield. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, bao la Liverpool likifungwa na Danny Ings na Norwich likifungwa na Russell Martin PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment