• HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2015

    TWIGA STARS YATOKA SARE 0-0 NA AFRIKA KUSINI LEO KONGO-BRAZAVILLE

    Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imelazimisha sare ya 0-0 na Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Kintele mjini Brazaville, Kongo. Twiga Stars imecheza mechi hiyo baada ya kutolewa katika Michezo ya Afrika inayoendelea Kongo-Brazaville kufuatia kushika nafasi Kundi A nyuma ya Ivory Coast na Nigeria na mbee ya wenyeji Kongo. Twiga inatarajiwa kurejea nchni Ijumaa. Pichani ni kikosi cha Twiga Stars katika mashindano hayo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS YATOKA SARE 0-0 NA AFRIKA KUSINI LEO KONGO-BRAZAVILLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top