• HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2015

    KASEJA AANZA KUFURAHIA MAISHA MBEYA CITY

    Kipa mpya wa Mbeya City, Juma Kaseja akifurahia na wenzake ushindi wa 3-0 leo dhidi ya JKT Ruvu ushindi wa Sokoine mjini Mbeya, Kaseja alianza vibaya baada ya Mbeya City kufungwa 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza Jumamosi, lakini leo hakuruhusu nyavu zake kuguswa.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KASEJA AANZA KUFURAHIA MAISHA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top