Mshambuliaji wa Manchester United, Memphis Depay akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Sunderland jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Wayne Rooney na Juan Mata. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
-



.png)
0 comments:
Post a Comment