Mshambuliaji wa mkopo West Ham, Mnigeria Victor Moses akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu hiyo katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Manchester City usiku wa leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la West Ham limefungwa na Diafra Sakho wakati la Man City limefungwa na Kevin De Bruyne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment