Kiungo mpya mshambuliaji wa Chelsea, Kai Havertz akiwa mazoezini na timu yake hiyo mpya uwanja wa Cobham leo kufuatia jana kukamilisha uhamisho wa rekodi, Pauni Milioni 89 kutoka Bayer Leverkusen ya kwao, Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saturday, September 05, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment