Mshambuliaji Olivier Giroud akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Ufaransa bao la nne dakika ya 77 kwa penalti hilo likiwa bao lake la 40 timu yake ya taifa katika ushindi wa Ufaransa wa 4-2 dhidi ya Croatia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya Uwanja wa Stade de France Jijini Paris. Mabao mengne ya Ufaransa yamefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 43, Dominik Livakovic dakika ya 45, Dayot Upamecano dakika ya 65, wakati ya Croatia yamefungwa na Dejan Lovren dakika ya 16 na Josip Brekalo dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment