Mkongwe James Milner akimpongeza kinda Harvey Elliott baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa TBC. Mabao mengine ya Liveropool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 43, Sadio Mané dakika ya 52, Roberto Firmino dakika ya 54, Takumi Minamino dakika ya 71, Divock Origi dakika ya 85 na Sepp Van den Berg dakika ya 88, wakati ya Blackpool yamefungwa na CJ Hamilton dakika ya 15 na Jerry Yates dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment