TIMU ya Brighton & Hove Albion imesonga mbele Carabao Cup baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Portsmouth kwenye mchezo wa Raundi ya pili jana Uwanja wa The AMEX, mabao ya Alexis Mac Allister, Alireza Jahanbakhsh, Bernardo na Viktor Gyokeres PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rosenior sacked by Chelsea after three months in charge
-
Chelsea sack head coach Liam Rosenior after losing five consecutive Premier
League matches without scoring for the first time since 1912.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment