Mshambuliaji Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 17 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade Roi Baudouin Jijini Brussels. Mabao mengne ya Ubelgiji yamefungwa na Axel Witsel dakika ya 13, Dries Mertens dakika ya 50 na Jeremy Doku dakika ya 79, wakati la Iceland lilifungwa na Holmbert Fridjonsson dakika ya 10 PCHA ZAD GONGA HAPA
WWE SmackDown Results: Winners, Grades, Reaction and Highlights from January 15
-
Vengeance, thy name is Roman Reigns. It is a reality that faced Adam Pearce
again Friday as the WWE official signed the contract for his Universal
Champion...
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment