Kiungo Nicolo Barella akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Italia dakika ya 45 ikiwachapa wenyeji, Uholanzi 1-0 katika mchezo wa Kund la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini Amsterdam PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rosenior sacked by Chelsea after three months in charge
-
Chelsea sack head coach Liam Rosenior after losing five consecutive Premier
League matches without scoring for the first time since 1912.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment