Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Ureno mabao yote, dakka za 45 na 72 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Friends Arena Jijini Solna. Kwa mabao hayo, Ronaldo anakuwa mwanasoka wa pili wa kiume kuifungia nchi yake mabao 100, tangu afunge la kwanza kwenye fainali za Euro 2004 kwa kichwa dhidi ya Ugiriki. Gwiji wa Iran, Ali Daei ndiye anashikilia rekodi ya mabao ya 109 katika mechi 149 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rosenior sacked by Chelsea after three months in charge
-
Chelsea sack head coach Liam Rosenior after losing five consecutive Premier
League matches without scoring for the first time since 1912.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment