Serge Gnabry amefunga mabao matatu, mabingwa watetezi Bayern Munich wakiibuka na ushindi wa 8-0 dhidi ya Schalke 04 katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga usiku wa Ijumaa Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Gnabry alifunga dakika ya nne, 47 na 59, wakati mabao mengine yamefungwa na Leon Goretzka dakika ya 19, Robert Lewandowski kwa penalti dakika ya 31, Thomas Muller dakika ya 69, Leroy Sane dakika ya 71 na Jamal Muisala dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment