MSHAMBULIAJI Lionel Messi akipongezwa baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika ya 45 na 51 na kuseti moja lililofungwa na Philippe Coutinho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruyff, bao la wageni likifungwa na Samuel Saiz dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thursday, September 17, 2020
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment