• HABARI MPYA

  Friday, July 06, 2018

  UFARANSA YAIBAMIZA URUGUAY 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI

  Beki Raphael Varane akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la kwanza dakika ya 40 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Uruguay kwenye mchezo wa Robo Fainali leo Uwanja wa Nizhny Novgorod nchini Urusi leo. Bao la pili limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 61 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UFARANSA YAIBAMIZA URUGUAY 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top