Nacer Chadli akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Ubelgiji dakika ya nne ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Rostov Arena ikitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kushinda 3-2 na kwenda Robo Fainali ambako itakutana na Brazil. Japan ilitangulia kwa mabao ya Genki Haraguchi dakika ya 48 na Takashi Inui dakika ya 52 kabla ya Ubelgiji kusawazisha kwa mabao ya Jan Vertonghen dakika ya 69 na Marouane Fellaini dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Heat pull off sensational record Big Bash chase
-
Centuries from Matt Renshaw and Jack Wildermuth help Brisbane Heat chase a
record 258 to beat Perth Scorchers in the Big Bash League.
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment