• HABARI MPYA

  Monday, July 02, 2018

  SUBASIC AOKOA PENALTI TATU NA KUIPELEKA CROATIA ROBO FAINALI

  Kipa Danijel Subasic amekuwa shujaa wa Croatia baada ya kuokoa penalti tatu za Denmark leo Uwanja wa Nizhny Novgorod mjini Novgorod, Urusi na kuipeleka timu yake Robo Fainali Kombe la Dunia ambako itakutana na wenyeji, Urusi. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 120, Mathias Jorgensen akianza kuifungia Denmark dakika ya kwanza, kabla ya Mario Mandzukic kuisawazishia Croatia dakika ya nne 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUBASIC AOKOA PENALTI TATU NA KUIPELEKA CROATIA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top