• HABARI MPYA

    Sunday, July 01, 2018

    SIMBA SC ILIYOKUWA NA NDUGU WAWILI, BEKI IDDI SULEIMAN NA MSHAMBULIAJI MADARAKA SUEIMAN

    Kikosi cha Simba SC mwaka 1995 kutoka kulia Katibu Mwenezi, Kassim Dewji, wachezaji Deo Mkuki, Godwin Aswile, Mwameja Mohammed, Kasongo Athumani, Juma Amir Maftah na Madaraka Suleiman na waliochuchumaa kutoka kulia ni Iddi Suleiman ‘Meya’, Nteze John, Fikiri Magoso, Ramadhani Lenny na Athumani China kabla ya moja ya mechi zao za ugenini michuano ya Afrika
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIYOKUWA NA NDUGU WAWILI, BEKI IDDI SULEIMAN NA MSHAMBULIAJI MADARAKA SUEIMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top