• HABARI MPYA

  Thursday, July 05, 2018

  ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME NI SIMBA NA AS PORTS, HUKU SINGIDA NA JKU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  BAADA ya mechi za makundi kuisha leo tayari timu nane tayari zimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Kagame ambazo ni Azam FC, Vipers ya Uganda na JKU ya Zanzibar za Kundi A.
  Kundi B zipo Rayon Sports na Gor Mahia na AS Ports na kutoka Kundi C zipo Simba na Singida United.
  Rayon na Gor Mahia zimefanana kila kitu hivyo ufafanuzi wa kiongozi utawajia baadaye kutoka waandaaji CECAFA.
  Hivyo basi katika robo fainali Simba itacheza na Ports na Singida itaivaa JKU.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME NI SIMBA NA AS PORTS, HUKU SINGIDA NA JKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top