• HABARI MPYA

  Friday, July 06, 2018

  DELPH AZAWADIWA JEZI YA MWANAWE BAADA YA KUREJEA KAMBINI ENGLAND

  Fabian Delph akiwa ameshika zawadi ya jezi ya mtoto ya timu ya taifa nchini Urusi jana aliyopewa na Chama cha Soka England (FA) aliporejea kwenye kambi ya Three Lions baada ya kupewa ruhusa kwenda nyumbani kufuatia kuzaliwa kwa mtoto wake wa tatu, wa kike. Delph alirejea England kabla ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia dhidi ya Colombia baada ya kuzaliwa binti yake huyo, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 wa Manchester City amewahi mchezo wa Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DELPH AZAWADIWA JEZI YA MWANAWE BAADA YA KUREJEA KAMBINI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top