• HABARI MPYA

  Wednesday, July 04, 2018

  MTIBWA SUGAR WALIPOTEMBELEA YATIMA WA VINGUNGUTI

  Kipa wa Mtibwa Sugar, Shaaban Hassan Kado akizungumza kwa niaba ya wachezaji wa timu yake walipotembelea kituo cha kulea watoto yatima maeneo ya Vigunguti juzi kuwafariji watoto hao, ikiwa ni sehemu ya timu hiyo ya Manungu, Turiani mkoani Morogoro kutoa shukrani zake kwa Mungu baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federetion (ASFC) mwezi uliopita      

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR WALIPOTEMBELEA YATIMA WA VINGUNGUTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top