• HABARI MPYA

  Wednesday, July 04, 2018

  MAN UNITED YASAJILI KIPA MKONGWE WA STOKE CITY

  Kipa Lee Grant mwenye umri wa miaka 35 akiwa amepozi na jezi ya klabu yake mpya, Manchester United baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 1.5 kutoka Stoke City na atakuwa kipa wa tatu Old Trafford huku Joel Pereira akitolewa kwa mkopo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YASAJILI KIPA MKONGWE WA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top