• HABARI MPYA

  Tuesday, July 17, 2018

  YONDAN 'MAKAVELI' AKITAFAKARI MAISHA NYUMBANI KIGAMBONI

  Beki wa Yanga SC, Kelvin Yondan 'Makaveli' ameposti picha hii akiwa ametulia nyumbani kwake, Kigamboni mjini Dar es Salaam akitafakari maisha. Yondan amegoma kusafiri na Yanga kwenda Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia kwa sababu mkataba wake umeisha na anataka kwanza apewe mkataba mpya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YONDAN 'MAKAVELI' AKITAFAKARI MAISHA NYUMBANI KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top