• HABARI MPYA

  Tuesday, July 03, 2018

  FORSBERG AIPELEKA SWEDEN ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA

  Emil Forsberg akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Sweden dakika ya 66 ikiilaza 1-0 Uswisi katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia leo Uwanja wa Saint-Petersburg na sasa itakutana na mshindi kati ya Colombia na England kwenyw Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FORSBERG AIPELEKA SWEDEN ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top