• HABARI MPYA

  Thursday, December 01, 2016

  UKISIKIA 'KUFA NA KUPONA' NDIYO HUKU....ROONEY ALIVYOUMIA AKIIPIGANIA MAN UTD JANA

  Nahodha wa Manchester United akitokw damu baada ya kuumia kufuatia kuchezewa rafu na beki wa West Ham United  Winston Reid i usiku wa jana katika mchezo wa Robo Faainali Kombe la Ligi England Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 4-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UKISIKIA 'KUFA NA KUPONA' NDIYO HUKU....ROONEY ALIVYOUMIA AKIIPIGANIA MAN UTD JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top