• HABARI MPYA

  Thursday, December 22, 2016

  BALOTELLI ALIMWA KADI NYEKUNDU DAKIKA YA MWISHO

  Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli (kushoto) akimsikiliza refa (kulia). Balotelli alitolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya mwisho katika mchezo wa Ligue 1 dhidi ya wenyeji, Bordeaux baada ya kumchezea vibaya beki Igor Lewczuk usiku wa jana timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOTELLI ALIMWA KADI NYEKUNDU DAKIKA YA MWISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top