Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, December 01, 2016

  ARSENAL 'YAFA KIUME' KOMBE LA LIGI, YAPIGWA 2-0 EMIRATES

  Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akiufuatilia kwa hasira mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England dhidi ya Southampton iliyoshinda 2-0 usikju wa jana Uwanja wa Emirates, mabao ya Jordy Clasie na Ryan Bertrand, yanayoipeleka Nusu Fainali timu hiyo ambako watamenyana na Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: ARSENAL 'YAFA KIUME' KOMBE LA LIGI, YAPIGWA 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top