Christian Eriksen akimrukia Harry Kane kumpongeza baada ya kuifungia bao la pili Tottenham dakika ya 52 kabla ya kukosa penalti dakika ya 58 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa jana Uwanja wa St. Mary's kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Spurs yalifungwa na Dele Alli mawili dakika za 19 na 87 na 85' Heung-Min Son dakika ya 85 wakati la wenyeji lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya pili tu ya mchezo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment