Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, December 01, 2016

  IBRA, MARTIAL KILA MMOJA APIA MBILI MAN UNITED YAUA 4-1

  Zlatan Ibrahimovic na Anthony Martial wakipongezana baada ya kila mmoja kuifungia mabao mawili Manchester United katika ushindi wa 4-1 usiku wa jana kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England dhidi ya West Ham United Uwanja wa Old Trafford. Ibra alifunga bao la kwanza na la nne dakika ya pili na 90 na ushei, wakati Martial alifunga la pili na la tatu dakika ya 48 na 62 huku bao la West Ham likifungwa na kinda wa zamani wa United, Ashley Fletcher na Mashetani Wekundu sasa watakutana na Hull City katika Nusu Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: IBRA, MARTIAL KILA MMOJA APIA MBILI MAN UNITED YAUA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top