Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa 13 mfululizo katika Ligi Kuu ya England baada ya kuilaza 4-2 Stoke City leo Uwanja wa Stamford Bridge. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Gary Cahill dakika ya 34, Willian dakika ya 57 na 65 na Diego Costa dakika ya 85, wakati ya Stoke City yamefungwa na Bruno Martins-Indi dakika ya 46 na Peter Crouch dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment