• HABARI MPYA

  Thursday, December 01, 2016

  TOTO LA ZIDANE LAANZA KUNG'ARA REAL MADRID

  Mtoto wa kocha Zinadine Zidane wa Real Madrid, Enzo Zidane (kulia) akipongezwa na mwenzeke baada ya kufunga bao lake la kwanza timu hiyo katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Cultural Leonesa kwenye mchezo wa 32 Bora Kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Bernabeu. Real inafuzu kwa ushindi wa jumla wa 13-2 baada ya awaoi kushinda 7-1 ugenini. Mabao mengine ya Real jana yalifungwa na Mariano Diaz matatu, James Rodriguez na Cesar Morgado aliyejifunga  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTO LA ZIDANE LAANZA KUNG'ARA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top