• HABARI MPYA

    Thursday, December 01, 2016

    BARCA YAKABWA KOO NA KITIMU CHA SEGUNDA B, SARE 1-1

    Kocha wa Barcelona, Luis Enrique akionyesha ishara jana Uwanja wa Jose Rico Perez mjini Alicante wakati wa mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Kombe la Mfalme Hispania wakilazimishwa sare ya 1-1 na Hercules ya Daraja la Pili, maarufu kama Segunda B. Bao Barca iliyocheza bila nyota wake Lionel Messi, Neymar na Luis Suarez lilifungwa na Carles Alena dakika ya 58 baada ya David Mainz kutangulia kuwafungia wenyeji dakika ya 52  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCA YAKABWA KOO NA KITIMU CHA SEGUNDA B, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top