• HABARI MPYA

  Thursday, December 15, 2016

  LALLANA APIGA MAWILI LIVERPOOL YAUA 3-0 UGENINI

  Adam Lallana akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 20 na 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Middlesbrough usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Bao lingine la Liverpool lilifungwa na Divock Origi dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LALLANA APIGA MAWILI LIVERPOOL YAUA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top