• HABARI MPYA

  Thursday, December 15, 2016

  CHELSEA YAZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND

  Kiungo Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Chelsea dakika ya 40 ikiilaza 1-0 Sunderland Uwanja wa Light usiku wa Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya England kuzidi kupaa kileleni ikifikisha pointi 40 baada ya mechi 16, sita zaidi ya Liverpool na Arsenal zinazofuatia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top