• HABARI MPYA

    Thursday, December 15, 2016

    ZABALETA AFUNGA BAADA YA MIAKA MIWILI MAN CITY YAUA 2-0

    Pablo Zabaleta akishangilia bao lake la kwanza kuifungia Manchester City tangu Desemba mwaka 2014 alipofunga kwenye Ligi ya Mabingwa dhidi ya Roma. Zabaleta alifunga bao la kwanza usiku wa Jumatano dakika ya 33 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Bao la pili lilifiungwa na kiungo David Silva dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ZABALETA AFUNGA BAADA YA MIAKA MIWILI MAN CITY YAUA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top