![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akiwatoka mabeki wa Taifa ya Jang'ombe katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 4-0. |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu akimtoka beki wa Taifa |
![]() |
| Winga wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akimiliki mpira mbele ya beki wa Taifa |
![]() |
| Mchezaji wa mechi ya jana, Hassan Kessy wa Simba SC, akimtoka beki wa Taifa |
![]() |
| Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Taifa |
![]() |
| Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akiwa ameruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya mabeki wa Taifa, huku Mganda mwenzake Juuko Murushid naye kushoto akiwa ameruka pia wakati wa kona |








.png)
0 comments:
Post a Comment