• HABARI MPYA

    Saturday, January 31, 2015

    BAYERN MUNICH YAFUMULIWA 4-1 BUNDESLIGA, GUARDIOLA KILIO!

    Pep Guardiola reacts during his side's 4-1 defeat against second-placed Wolfsburg 
    Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola akisikitika baada ya timu yake kufungwa mabao 4-1 Wolfsburg wanaoshika nafasi ya pili katika Bundesliga jana. Bast Dost na Kevin De Bruyne kila mmoja alifunga mabao mawili Uwanja wa Volkswagen Arena, wakati bao la Bayern lilifungwa na Bernat. Wolves sasa wanazidiwa pointi nane na timu ya Pep Guardiola iliyo kileleni.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2933703/Wolfsburg-4-1-Bayern-Munich-Wolves-stun-Pep-Guardiola-s-impressive-win-close-gap-Bundesliga-leaders.html#ixzz3QNYPn2RP 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAFUMULIWA 4-1 BUNDESLIGA, GUARDIOLA KILIO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top