
Novak Djokovic akipeana mikono na Stan Wawrinka baada ya kumfunga katika Nusu Fainali ya Australian Open leo kwa seti 3-2 (7-6, 3-6, 6-4, 4-6, 6-0) Uwanja wa Rod Laver Arena na sasa atamenyana na Andy Murray katika fainali Jumapili mjini Melbourne. Ikumbukwe, Djokovic alimfunga Murray katika fainali za michuano hiyo mwaka 2011 na 2013.


0 comments:
Post a Comment