• HABARI MPYA

  Sunday, January 25, 2015

  OKWI BAADA YA KUZIMIA TAIFA LEO SIMBA NA AZAM

  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiwa amezimia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, baada ya kugongana ba beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliomalizika kwa sare ya 1-1. Okwi alianza kuifungia Simba SC kabla ya Kipre Tchetche kuisawazishia Azam FC.
  Anapelekwa kwenye Ambulance akimbizwe hosptali ya taifa, Muhimbili.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OKWI BAADA YA KUZIMIA TAIFA LEO SIMBA NA AZAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top