BAYERN Munich imefanya mauaji Bundesliga baada ya kuifumua mabao 4-0 Hanover 96 mabao 4-0.
Mabao ya timu ya kocha Pep Guardiola yamefungwa na Robert Lewandowski dakika ya sita na 38 na Arjen Robben dakika ya 13 na 79.
Kikosi cha Bayern Munich kilikuwa: Neuer, Benatia, Dante, Alaba, Rafinha, Lahm/Rode dk75, Alonso/Gaudino dk82, Bernat, Robben, Lewandowski na Shaqiri/Pizarro dk60.
Hannover 96: Zieler, Sakai, Guedes Filho, Trevizan Martins, Schulz , Albornoz/Pander dk45, Schmiedebach, Gülselam, Kiyotake/Schlaudraff dk72, Sobiech na Mato Sanmartin/Bittencourt dk45.

![]() |
| Arjen Robben amefunga mabao mawili leo Bayern ikiua 4-0 Bundesliga |

.png)
0 comments:
Post a Comment