VIBONDE WA LIGI YA SAUZI WATUA LEO KUIVAA YANGA JUMAMOSI
Wapinzani wa Yanga katika mchezo wa kirafiki Jumamosi, Black Leopard inayopigania kuepuka kushuka Daraja katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini, wanatarajiwa kuwasili leo tayari kwa mchezo huo. Vibonde hao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini kikosi wanaye mchezaji mmoja tu ambaye labda Watanzania watakuwa wanamjua, kipa Posnet Omony wa Uganda. Hiyo itakuwa mechi ya kwanza ya Yanga kujipima nguvu baada ya ziara ya Uturuki.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...