Kocha mpya wa Arsenal, Mikel Arteta akifurahia na wachezaji wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Nicolas Pepe dakika ya nane na Sokratis Papastathopoulos dakika ya 42 wakiuanza mwaka mpya vizuri PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment