Callum Hudson-Odoi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Jorginho dakika ya 27 kwa penalti na Tammy Abraham dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment