Roberto Firmino (kulia) akishangilia na beki Virgil van Dijk baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi dakika ya 84 ikiilaza Wolverhampton Wanderers 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Molineux. Liverpool ilitangulia kwa bao la Jordan Henderson dakika ya nane kabla ya Raul Jimenez kuisawazishia Wolves dakika ya 51 na kwa ushindi huo, Kops wanaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 16 zaidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man Utd angry as Morocco rejected Mazraoui request
-
Manchester United are angry with the Moroccan FA for rejecting their plea
for Noussair Mazraoui to play in Monday's draw with Bournemouth.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment